MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, May 26, 2016

UNAWEZA UKAWA MWEUSI LAKINI UKAVUTIA!!

WATU WENGI HUDHANI ILI MTU APENDEZE NA AVUTIE LAZIMA AWE MWEUPE!!HELL NO, UNAWEZA UKAWA MWEUSI UKAPENDEZA NA UKAVUTIA.UKWELI NI KWAMBA UNACHOTAKIWA KUWA NACHO NI UNG'AVU WA NGOZI YAANI NGOZI YAKO IWAKE REGARDLESS UMWEUSI AMA UMWEUPE,KWA MAANA UNAWEZA UKAWA MWEUPE LAKINI UMEFUBAA NA MWENZIO AKAWA MWEUSI LAKINI ANASHINE NA ANA MVUTO !! TURUDI KWENYE MADA... OTENTIKA ITAKUPA HUO MNG"AO U TUNAOUZUNGUNGUMZIA HAPA!! KARIBU SANA

THE BEUATY OF ARGAN OIL NOW ON YOUR FACE!!!

WE ALL KNOW THE BEAUTY OF ARGAN OIL WHEN IT COMES TO SKIN CARE,NOW   CONSIDER  THE BEAUTY OF ALL THIS IN ONE CREME TO WEAR IT ON YOUR FACE. #ADVANCECLINICAL WILL GIVE YOU A SMOOTH, RADIANT AND EVEN TONED SKIN TONED.

Thursday, May 19, 2016

LOOKING LOTION FOR YOUR FAMILY? #AVEENO #CETAPHIL #NIVEA Q10
WANT A GLOWING EVEN SKIN TONE?

55H+ IS LOTION TO GIVE YOU THAT EVEN & AND  A GLOWING TONE.WHICH ONE TO USE TO WHAT TYPE OF SKIN IN WHICH CONDITION... THAT IS THE AREA OF OUR EXPERTRIATE!! CHECK US ON #0753482909 @Akclasssicosmetics #mlimani city

IS YOUR HAIR DWARF,UNHEALTH,DUNDRUFED AND NOT SHINING?

IF YOU ARE STRESS YOUR HAIR AINT GROWING,UNHEALTH!! YOU SHOULDNT BE STRESSED WE GOT THE PRODUCT TO HEAL YOUR PROBLEM. #T444Z #JBCO #HAIRFINITY ALL THESE WILL GIVE YOU THE BEST RESULT YOU LOOKING FOR LEAVING YOUR HAIR, GROWING,HEALTH AND SHINING. COME ONE COME ALL @AKCLASSIC MLIMANI CITY #0753482909 

LOOKING FOR A BODY SHAPER? (CORSET)

IF YOU INTERESTED TO LOOSE UP TO 3-6 INCH OF YOUR TUMMY THE PLACE TO VISIT IS @AK CLASSIC COSMETICS  #MLIMANI CITY. WE GOT ALL THE SIZES FROM SMALL TO XXL. KARIBU SANA #0753482909

Wednesday, May 11, 2016

JE WEUSI CHINI YA MACHO (DARK CIRCLE) UNAKUSUMBUA?

WEUSI WA KWENYE MACHO KAMA ILIVYO PICHANI ILI NI TATIZO LA WATU WENGI , @AKCLASSIC TUNAKUPA SOLUTION YA SHIDA MARA MOJA. KARIBU

JE WEWE NI #TEAMNATURAH HAIR? NA UNAPENDA TWIST CURLY HAIR?

WALE WAPENZI WA HATURAL HAIR NA CURLY HAIR MAISHA YENU TUMEYARAISISHA SANA SANAAA SASA UKIJA KWETU UTAPATA MAFUTA AINA ZOTE KWA AJILI YA CURLY HAIR KUANZIA KINKY CURLY,SHEA MOISTURE,CANTU NA MOST WANTED ECOGEL. HATUISHII HAPO VILE VILE TUTAKUPA NA SPONGE TWISH ILE BRUSH YA KUTENGENEZA ZILE STYLE ZA CURLY HAIR TENA KWA BEI CHEE KABISAAA!!UNANGOJA NINI?TUNAPATIKANA MLIMANI CITY TUKITIZAMANA NA TOTAL PETROL STATION. #0753482909

Thursday, May 5, 2016

JE NYWELE ZAKO ZINAMATATIZO YA KUTOJAA,KUKATIKAKATIKA,HAZIKUI,HAZINA AFYA NA HAZISHINE?>

HII NI MAHUSUSI KWA WALE NDUGU ZANGU WOTE AMBAO WANA MATATIZO YA NYWELE NA WAMESHATUMIA TIBA KIBAO LAKINI WAPI!!!SASA TUMEKULETEA HII YA BEAUTIFUL TREATMENT FROM INSIDE OUT!! INAENDA KWA JINA LA #HAIRFINITY. JAMANI NAJUA WENGI WETU  NI WAOGA WA VIDONGE NAOMBA NISEME HIVI HATUVIITI VIDONGE HIVI NI VITAMIN AMBAVYO UNAPOVITUMIA VINAENDA KUJAZA GAP AMBALO TUNALIMISS KWA AINA YA VYAKULA TUNAVYOKULA AMBAVYO KWA ASILIMIA KUBWA HAVITUPI VIRUTUBISHO MAHSUSI KWA AJILI YA UKUAJI WA NYWELE ZETU...KAZI IYO SASA INAENDA KUFANYWA NA HAIRFINITY. 


LOOKING FOR THAT GOLDISH,AMAIZING &SHINING COLOUR?

INAITWA EXPRESS GLOW!! HII BANA NDO BABA  YAO YAANI MAMBO FLANI YA RANGI YA KUNG'AA YAANI UTAIPATA HAPA, TENA UKITAKA KUIFAIDI UPATE FULL SET...NAKWAMBIA UKO KITAA WATAJUTA KUKUFAHAMU MAANA MTOTO HIYO RANGI UTAKAVYOKUWA UNAWAKA NI SHEEDA!!

USHAPATA RANGI FLANI KISHA UNAPIGILIA MSUMARI... HUTAKI IPOPTEEE,HUTAKI MAMBO YA MICHIRIZI SIJUI SPOT AGE,NA MAMBO KAMA HAYO HAPA NDO MPANGO MZIMA!!!

UNAIJUA RANGI YA DHAHABU WEWE?RANGI ISIYO NA KELELE,RANGI YENYE MVUTO WA KIASILIA!!BASI UTAIPATA NA CARROT GLOW.... HII NI KWA WALE WANAOTAKA MAMBO KWA STAA BILA KUWA NA MABADILIKOO YA HAJAA!! KITU SLOW BUT BURE

UKISKIA RANGI YA KITAJIRI NDO HII HAPA...YAANI KWA HANDBAG HUNA KITU LAKINI MWONEKANO WAKO WATU WANAJUA UMEJAAA MIELA KIBAOO!!ENHEEE

MKANDAMIZO MWINGINE...YAANI YENYEWE INAGANDAMIZA PALE ULIPOFIKIA!!

HII ITAHAKIKISHA UNAIPATA RANGI ILE UNAYOITAKA!! UZURI WA HII NI MULTI PURPOSE RANGI YOYOTE UNAYOITAKA UTAIPATA NI WEWE TU UJUE JINSI YA KUCHEZA NAYO...KAMA BADO UKIJA TUTAKUPA SHULE TENA BUREEEEE!!!

UNA NGOZI YENYE MAFUTA HASA USONI>?UNATESWA NA CHUNUSI SANA?

KOSA KUBWA HUWA WATU WENYE OIL FACE TUNAFANYA NI KUPAKA CREME/LOTION YENYE MAFUTA USONI!!EPUKA SANA LOTION ZA NAMNA HII KWANI HUZIDISHA TATIZO!!NINI UFANYE?PENDELEA KUPAKA CREME/LOTION ZISIZO NA MAFUTA(OIL FREE0 MOISTURIZER!!! WATAALAM WA NGOZI WANAIPA GREENLIGHT BRAND YA NEUTROGENA... #AKCLASSIC UTAZIPATA

KAMA KUNA KITU MUHIMU PENGINE KULIKO VYOTE NI KUHAKIKISHA UNAOSHA NGOZI YAKO YA USO WA MAFUTA WALAU MARA MBILI KWA SIKU...HII HUSAIDIA MAFUTA,JASHO<VUMBI, NA ZAIDI KUFUNGUA ZILE PORES KWANI KWA KAWAIDA NGOZI YA MAFUTA HUWA INATABIA YA KUZIBWA MATUNDU NA YAKE MAFUTA YA ZIADA ULIYO NAYO. PENDELEA CLEASNER ZA JAMII YA #NEUTROGENA HUTOJUTRA!!!

OIL FREE MOISTURIZER