MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, May 5, 2016

JE NYWELE ZAKO ZINAMATATIZO YA KUTOJAA,KUKATIKAKATIKA,HAZIKUI,HAZINA AFYA NA HAZISHINE?>

HII NI MAHUSUSI KWA WALE NDUGU ZANGU WOTE AMBAO WANA MATATIZO YA NYWELE NA WAMESHATUMIA TIBA KIBAO LAKINI WAPI!!!SASA TUMEKULETEA HII YA BEAUTIFUL TREATMENT FROM INSIDE OUT!! INAENDA KWA JINA LA #HAIRFINITY. JAMANI NAJUA WENGI WETU  NI WAOGA WA VIDONGE NAOMBA NISEME HIVI HATUVIITI VIDONGE HIVI NI VITAMIN AMBAVYO UNAPOVITUMIA VINAENDA KUJAZA GAP AMBALO TUNALIMISS KWA AINA YA VYAKULA TUNAVYOKULA AMBAVYO KWA ASILIMIA KUBWA HAVITUPI VIRUTUBISHO MAHSUSI KWA AJILI YA UKUAJI WA NYWELE ZETU...KAZI IYO SASA INAENDA KUFANYWA NA HAIRFINITY. 


No comments:

Post a Comment