MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, May 11, 2016

JE WEWE NI #TEAMNATURAH HAIR? NA UNAPENDA TWIST CURLY HAIR?

WALE WAPENZI WA HATURAL HAIR NA CURLY HAIR MAISHA YENU TUMEYARAISISHA SANA SANAAA SASA UKIJA KWETU UTAPATA MAFUTA AINA ZOTE KWA AJILI YA CURLY HAIR KUANZIA KINKY CURLY,SHEA MOISTURE,CANTU NA MOST WANTED ECOGEL. HATUISHII HAPO VILE VILE TUTAKUPA NA SPONGE TWISH ILE BRUSH YA KUTENGENEZA ZILE STYLE ZA CURLY HAIR TENA KWA BEI CHEE KABISAAA!!UNANGOJA NINI?TUNAPATIKANA MLIMANI CITY TUKITIZAMANA NA TOTAL PETROL STATION. #0753482909

No comments:

Post a Comment