MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, September 4, 2013

>>>NEW ARRIVALS @AKCLASSIC COSMETICS..WAHI WAHI..

MADINI NDO YANASHUKA HUMO NDANI!!

WALE WALIOKUWA WAMEMISS CORSET HAYA HAYA MAMBO YAMETUA!!

HUKU HT26 HUKU MAKARI ILO BALAA LAKE SASA!!!AYAYAYAYA

MAKE UP ZOTE UNAPATA!!

ZILE SUPPLIMENTS ZA NYWELE KUCHA NA NGOZI ZIMEFIKA PIA,ILE LOTIO MAARUFU YA SH.18 PAMOJA NA SABUNI YAKE NDANI!!

WEWE USIPONG'ARA HUMU BASI UKAOGEE MAJI YA BWAGAMOYO!!KITU CHA ENZI IZOOO LAKINI MPK SASA KINATESA(AMBI) OTENTIKA NANI ASIYEIJUA? HYPCREME NDIO HABAREE YA MJINI!!CETAPHIL UJE UIONE!!ZIPO SABUNI LOTION NA KILA KITU

No comments:

Post a Comment