MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, September 1, 2013

>>>ARE YOU UNCOMFORTABLE WITH YOUR STRETCHMARKS??COME TO US!!

NAFAHAMU KABISA HAKUNA MWENYE STRETCH MARKS AMBAYE HAJATUMIA BIO-OIL!!LAKINI KWA KESI HII NI TOFAUTI!!JUZI NILISEMA HAPA JAMANI ENHEEE BIO-OIL ZAIDI NA ZAIDI INASAIDIA KUKINGA NA SIO KUTIBU,IKIWA NA MAANA KWAMBA KAMA UNASTERCH MARKS LEO UKITUMIA BIOIL USITEGEMEE ZITAONDOKA LAHASHA ILA HAUTAONA ZIKIONGEZEZEKA!!                                                              SASA HUU NI MCHANGANYIKO TOFAUTI KIDOGO AMBAO UNATENGENEZWA KIASILI!! NI MCHANGANYIKO WA BIO-OIL NA FRESH SHEA( YAANI SHEA AMBAYO IMETOKA FRESH SHAMBANI) UNAFANYAJE? UNAPAKAJE? NJOO @AKCLASSIC KINONDONI!!

No comments:

Post a Comment