MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, September 3, 2013

Available @ AK Classic Cosmetics

Product ImageProduct ImageBump Fighter Disposable Razors 4 Each [024500462076]
Kwa wale wenye ngozi za kupatwa na msukosuko haraka(sensitive)ukinyoa tu mapele hayo....dawa kiboko ipo dukani wahi ujipatie na special nyembe zipo kwa ajili yenu....hii inawahusu hata  wanawake.Hayo mapele ndio yanasababisha sehemu hizo za mwili kuwa NYEUSI!!kwa maelezo zaidi karibu dukani au piga simu.

No comments:

Post a Comment