MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, September 10, 2015

YA NINI USHINDWE KUPIGA KIMINI CHA!!

Aya sasa wadada wa Mujini, kama kawaida #akclassic siku zote tunakuondolea stress... ile ya hali ya vinyweleo vya miguuni vinakosaje stress unashindwa kujiachia na kinguo chako kikali cha mtoko kisa tu miguu ama mikono itaonekana sasa ndo mwisho.
NJOO TUKUPE #hairemover ya #nair iko vizuri mnooo

No comments:

Post a Comment