MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, October 22, 2012

>>>Hand cream za kutosha kwenye pochi kutoka Bath&Body Works zimeshawasili kwa wale waliokosa karibuni AK Cosmetics mchukue...

Shea Cashmere & Silk Hand Cream - True Blue® Spa - Bath & Body WorksTravel-Size Shea Cashmere Hand Cream - True Blue® Spa - Bath & Body WorksStress Relief - Eucalyptus Spearmint Hand Cream - Aromatherapy - Bath & Body Works
Cream ya mikononi ni kwa wale wanaosikia mikono mikavu mara kwa mara au unapotoka kunawa unapaka kusudi mikono isipauke.Kumbukeni hili ukitaka kujua UMRI wa MTU angalia mikono yake,mikavu imekomaa jibu hilo,ila ukiipenda mikono yako utawaacha watu wana otea tu!

No comments:

Post a Comment