MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, October 28, 2012

>>AYA SASA AK COSMETICS KILA SIKU NA MAMBO MAPYA,SASA NIMEWALETEA TISSUE MAALUM ZA KUJIFUTIA USO HASA KWA WALE WENZANGU WENYE NGOZI ZENYE MAFUTA KWA WINGI,BAADA YA KUTUMIA LESO UNATUMIA HII UNAFUTA VUMBI LAKINI ZAIDI UNATOA MAFUTA NGOZI INABAKI KUWA KAVU NA YAKUPENDEZA!!

BAADA YA KUFUTA UTAONA KARATASI INAKUWA KAMA LIMETOKA KWENYE KIKAANGIO CHENYE MAFUTA,ILA MAKEUP YAKO IPO PALEPALE,HII NI SPECIAL TISSUE HAITOI MAKEUP ONLY MAFUTA,HATA KWA MABIBI HARUSI THIS IS THE BEST,KULIKO MATRON ANASHINDA ANAKUKANDIKA MAKEUP BASI KWENYE PICHA UNATOKA KAMA ..... WE MALIZIA!!HII NDIO KAZI YAKE.

No comments:

Post a Comment