MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, October 1, 2014

DARASA LA BURE KWA VIGOGO WA NYWELE MJINI> T444Z NA JAMAICAN BLACK CASTRO OIL!!

KWA WALE WAPENZI WA NATURAL HAIR!LEO NAOMBA NITOE DARASA KIDOGO KUHUSU HII MIAROBAINI MIWILI YA NYWELE AMBAYO IMEKUWA GUMZO MUJINI!!NIANZE NA T444Z HII NI STAND ALONE INAFANYA VZR IKIWA PEKE AKE,PAKA KWENYE NGOZI SUGUA DK 3-5!PAKA ENEO HUSIKA KUPATA MATOKEO MAZURI ZAIDI NA YA HARAKA,ZUIA KUOSHA NYWELE MARA KWA MARA KWANI KADRI UNAVOZIACHA MUDA BILA KUOSHA NDIO MATOKEO YANAVYOKUWA MAZURI ZAIDI.KUHUSU #JBCO HII NI NZITO SANA HALAFU INA HARUFU KALI KDG HIVYO UNASHAURIWA KUIMIX NA EITHER MAFUTA YA NAZI AU OLIVE OIL,INGAWA KUNA STYLE NYINGI ZA KUITUMIA HII NJIA NZURI UNASHAURIWA KUIPAKA KWENYE NGOZI MOJA KWA MOJA THEN SUGUA NI VZR UKIPATA KITU KAMA MSWAKI HIVI ALAFU VAA CAP YAKO YA NYWELE ILE PLASTIC ALAFU ZIWACHE MPK KESHO YAKE ASUBUHI,KISHA OSHA!!KAMA UNASUKA UNAWEZA FANYA ZOEZI HILI MPK MARA 3 KWA WEEK!!UNASHAURIWA KUIPAKA WAKATI NYWELE ZIKIWA KAVU ALAFU USIIPAKE WAKATI UNATOKA KUOSHA KWANI NYWELE ZITASHRINK!!!

No comments:

Post a Comment