MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, March 2, 2014

KIMYA KINGI KINA MSHINDO...MALI MPYAAA IMEWASILIII #AKCLASSIC

MADINI MAPYA YAKISHUSHWA......WALE WENYE ODA ZENU MUWAHIIII

JE UNAFAHAMU MAAJABU YA CARROT INAPOTUMIWA MWILINI?LOTION ZOTE HIZI TATU NI ZA CARROT!!CARRPT INAFANYA TONE YAKO IONEKANE,MNG'AO ASILIA WA NGOZI YAKO HATA KAMA UMEFUBAA KIASI GANI KWA KAROTI IZI UTARUDI NDUGU YANGU!!KAMA UNABISHA JARIBUUUU!! #MAKARI #H26 #CARROTGLOW

WALE WA MAKE UP MAMBO HAYO HAPOOO IZI NDO THE BEST FOUNDATION AISEEE EM GOOGLE HAPO #MARYKAY #BLACKOPAL

UKIAMUA KUFUBAA FUBAA TU ILA USIJE UKASEMA OOOH MIE NIMETUMIA KILA KITU LAKINI WAPI!!HAMNA KITU KAMA HICHO!!VITU HIVI VYA UKWELI SASA WEWE TUMIA VYA BEI RAHISI UTAISHIA KUUNGUA TU NA BAADA YA MUDA UNAKUWA BORA HATA ULIVYOKUWA KABLA HUJAANZA KUTUMIA!!VITU VIMEPIMWA HIVI KILA KITU KIMEBALANSIWA KIUTAALAM!!MAMBO IKO HUKUUU! ! #TEAMAKCLASSIC

KAMA RANGI YAKO YA ASILI IMEPOTEA NA UNATAKA KUIRUDISHA PLUS ULE UCHOCOLATE FLANI BASI NAKUWEKA UMOO FULL SET!!USHINDWE WEWE TU!!

MAMBO YA KUNUKIA KUTOKA VICTORIA SECRETS NA BBW HAPA NDO MAKAO MAKUUU!!

KAMA MAZOEZI UMEKUWA MVIVU,DIET NAYO MGOGORO BASI HATA HII ISIKUPITE BISHOSTI!! KITAMBI NOOOMAAA!!!

NGUVU YA AJABU YA SCARZONE...JARIBU UONE...

AYA SASA #TEAMFLATSCREEN NDO MPANGOSASA,TV ZA MACHOGO HAZINA SOKO!! bye

No comments:

Post a Comment