MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Saturday, September 6, 2014

WALE NDUGU ZANGU WA NGOZI ZA MAFUTA HASA USONI..SIWAACHI!

 NANI ASIYEJUA MAAJABU YA TEE TREE KWENYE CHUNUSI??LEO NIMEAMUA KUWALETEA BIDHAA ZA THE BODYSHOP ZENYEE HII TEA TREE KUJA KUMALIZA TATIZO LA CHUNUSI!!!
WENGI MNAIFAHAMU HII BIDHAA MAANA NI YA LONG TYIME ...SEMA IMACHAKACHULIWA SANA SASA NIMEWALETEA KITU ORIGINAL!!KAMA INAVOONEKANA KUNA MOISTURIZERMOISTURIZER NA KITU CHA MABAKA!!

No comments:

Post a Comment