MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.
Tuesday, September 16, 2014
>>>SAY NO TO MICHIRIZI < KIPILIPILI< TUMBO < NGOZI MPAUKO < MIWANI <...CHUKUA HATUA!!
HIZI CHIPS MAYAI BALAA SANA..YAANI VITAMBO DAH!ANYWAY CORSET ITAKUSAIDIA KURUDISHA TUMBO KADRI UNAVOIVAA NDIVYO LINAVYORUDI..AS LNAKUKUWA INAKUSAIDIA KUCONTROL CHAKULA NA VITU KAMA IVYO..AYA SASA NI WAKATI WA KURUDISHA MVUTO WAKO!!WALE TULIOTOKA KUJIFUNGUA HAO HATA NISIPOSEMA NYIE NDIO NO. 1 WAHANGA!!SIZE ZOTE ZIPO!!
KATI YA BIDHAA CHACHE SANA ZA NWELE AMBAZO UKIZITUMIA..LAZIMA USEME WOW!!YAANI HUTOJUTA HATA KIDOGO!!CANTU HUYU BWANA SIJUI NIMSEMEJE ILA UKITAKA UNYWELE USIMAME FULL KUNG"AA HUYU NDIEE,T444Z HII HABARE YA MUJINI KILA MTU ANAMJUA.SASA HUYU JAMAICAN BLACK CASTRO OIL NADHANI NDIO ANAKUJA KUFUNIKA OMG..YEYE ANAENDA DEEP MPAKA KUKUZA KOPE NA NYUSI...DAH EM NJOO #AKCLASSIC HARAKA UNAPITWA UJUE!!
NANI ASIYEJUA BALAA LA CARROT KWENYE SUALA ZIMA LA NGOZI!!WENGI HUWA TUNATUMIA VITU NUSU NUSU...YAANI UNAKUTA UNA LOTION TU AMA SABUNI TU!!NI SAWA ILA KAMA UNATAKA KUPATA MATOKEO MAZURI SHURTI UPATE SET!!NDIO MAANA UNAKUTA MTU ANANG'AA SAWA LAKINI NGOZI NGUMUUUU!!UKIIPIGA MBAO RANGI MBAO BILA KUANZA NA MSASA UNATEGEMEA NINI?NADHANI IMEELEWEKA UMUHIMU WA KUWA NA SABUNI,SERUM,CREME NA LOTION!!HATA RANGI YA CHUNGWA HIYO!
MAMA MIO HII NI KIBOKO YA MICHIRIZI!HASA HASA MICHIRIZI AMBAYO HAIJAKAA MUDA MREFU NA HASA ILE YA UZAZI....IMETHIBIKA KUFANYA KAZI KWA KIWANGO CHA HALI YA JUU..WATU WENGI WALIOTUMIA MAMA MIO WAMEZIKUBALI.. ZITUMIE KWA PAMOJA AMA KWA HAKIKA HUTOJUTA!! ..NAJUA MPO WENGI MLIOKATA TAMAA LAKINI KWA HII ITARUDISHA SMILE LENU!!NJOO DUKANI UPATE VITU TOFAUTI UTAKUBALI!!
KUNA WAKATI UNATUMIA CREME INAFANYA VIZURI LAKINI KUNA SEHEMU ZINAGOMA,MARA NGOZI INAUNGUA,MARA MIWANI,MARA SHINGO NYEUSI,MARA KWAPA JEUSI WALE MLIOTOKA KUJIFUNGUA MNANIELEWA ZAIDI KUHUSU HII!!LAKINI HATA SIE WENGINE...SASA HII IMEKUJA KUFUTA VILIO VYETU!!HII KITU IKO SET KAMILI UKIJA DUKANI TUTAKUELEZEA JINSI GANI UTAFANYA!!
No comments:
Post a Comment