MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, April 20, 2017

JE MNAFAHAMU UMUHIMU WA TONER? STAGE 2

Ingawa Stage Hii
Tunairuka sana
Kwa Kawaida
WATAALAM wa Mambo Wanashauri Mara Baada Ya Kucleanse (Kuosha Na Cleanser)
HATUA INAYOFATA HUWA
NI kutone (apply Toner)

Tofauti na Cleanser ambayo hupakwa kisha na kuoshwa na Maji Toner hupakwa Na Kuachwa... Je Hii ni Moisturizer??
Hapana. Baada YA kutone Ndio hufatiwa na Moisturizer!!
KAZI YAKE
Baada ya Kuosha Vinyweleo (Pores) Huwa WAZI kimsingi ivi havitakiwi kuwa wazi matumizi ya Toner huziba zile pores pasi na madhara ili uchafu kama Vumbi n.k usiiingie!
#Neutrogena
TONER✔ hushauriwa zaidi na Watu wenye Ngozi za Mafuta Na Kawaida(Oil& Dry skin)

Unataka
BIDHAA na Ushauri
Usisite Kutuona

Tunapatikana
#mlimanicity
Opposite NA #totalpetrolstation
#universityroad
#call&whatsup0753482909
#Door2Doordelivery 🚴
— at Mlimani City.

No comments:

Post a Comment