MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, April 20, 2017

MSUMBUKAO NA CHUNUSI NA RUSHES WOTE HII YA KWAAJILI YENU!!

Kwa Wale Wenzangu,
Wenye USO wa Mafuta,
#Teamoilface😕
HATUA ya 1
NaWaletea Hii Namba 1 inayoshauriwa na wataaalam Wa Ngozi....
Yenye Fleva Ya upinkish
Unahitaji Hii
#Neutrogena
ACNE WASH OIL FREE
PINK GRAPEFRUIT
C.L.E.A.N.S.E.R


Hii ni muhimu kwa ajili ya kupunguza Mafuta yako Mengi Usoni, Vumbi, Jasho N.K
Active indrigrient; Salicylic Acid 2%✔
Kiungo Hiki ndio hasa Hufanya kazi ya Kunyonya Mafuta, Utumiaji wa Kiungo hiki unashauriwa pia uzingatie matumizi ya #sunscreen Kwani hufanya Ngozi kuwa prone na mionzi ya Jua kwa Matokeo mazuri Zaidi.
MATUMIZI
Osha Uso MARA 2 kwa Siku
Asbh na Jioni.

#facialcleanser
#Neutrogenacleanser
#teamoilskin
#Thebestcleanser
— at Mlimani City.

No comments:

Post a Comment