MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, April 20, 2017

UNA USO WA MAFUTA?? UNAHITAJI HII MOISTURIZER YENYE MPK SUNSCREEN #KIBOKO

Ukishakuwa na Ngozi yenye Mafuta (OilSkin)
NA HATA ( Normal Skin)
HATUA ya 3
Zingatia unaChopaka!!
Maana ukiwa Oil na Ukapaka Vitu Vyenye Mafuta utaamsha Madude😠😠

HII iNAWAHUSU HASA Zaidi Ndugu zangu wenye Chunusi maana Hao asilimia Kubwq wana oil Skin.

Please Zingatia Ili
Ni Muhimu Munooo!!

Tafuta Kitu
Ambacho ni #Oilfree
Kama hii #Neutrogena
#Oilfree Moisturizer
Yenye #Sunscreen Kabisa.
What else unataka???😅

Na Upake Baada Ya Kuzingatia
Hatua Ya Kwanza na Ya Pili
Yaani Kucleanse na Kutone.

N.B Unaweza Miss Kutone But never Miss Kucleanse ( KUOSHA Uso Wako).


Njoo madini haya
UTAYAPATA
#MLIMANICITY
OPPOSITE #TOTALPETROLSTATION
#UNIVERSITYROAD
#CALL&WHATSUP0753482909
— at Mlimani City.

No comments:

Post a Comment