MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, April 20, 2017

UNAWEZA KUWA HUNA CHUNUSI LAKINI SI SABABU YAB KUACHA KUOSHA USO WAKO!! TUMIA JAMII HII

Either Uso Wako
Una Mafuta(Oil) ya Kawaisa (Normal skin)Ama Mkavu (Dry skin

Aina Hii ya Cleanser
(Mild Cleanser) Ndo Zenyewe.
#Aveeno
C.L.E.A.N.S.E.R
Kimsingi unashauriwa Kuhakikisha unaosha Uso Wako Walau mara 2 kwa Siku Kwa ajili ya Kuuweka Sawia Dhidi Ya vitu kama Jasho, Vumbi n.k
USO Uliooshwa vizuri hupumua vizuri kwani Cleanser hizi Hufungua Pores Za Ngozi ya Uso wako na Kuufanya kuwa Fresh...

N.B Wadada Mnaotumia Makeup Kama hutumii Makeup Remover ✔ na wala Huna Cleanser Basi huutendei Haki hata Kidogo Uso wako.
Kwann?
KWASABABU; makeup asilimia kubwa Hufunga pores za Uso na Kuufanya Uso upumue Kwa Shida So utumiaji wa Cleanser Ndo njia Nzuri ya Kufungua PORES zilizoshinda kutwa zimeziba ambayo si nzuri kwa afya ya Ngozi Yako.

#Freemadini
#AfyayaNgozi
#Liquidcleanser the Best
#Oilskin treatment
#Getthemoriginal

Cleanser
Za
Namna Hii
Tunazo @ak_classic_cosmetics

Tunapatikana
#mlimanicity
Opposite #totalpetrolstation
#universityroad
#call&whatsup0753482909
#Door2Doordelivery
— at Mlimani City.

No comments:

Post a Comment