MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, April 20, 2017

NEUTROGENA CLEANSER HAIJAWAI KUMWANGUSHA MTU MWENYE MAFUTA USONI!!

Kwa Wale Wenzangu,
Wenye USO wa Mafuta,
#Teamoilface😕
HATUA ya 1
Unahitaji Hii
#Neutrogena
ACNE WASH OIL FREE 👍
C.L.E.A.N.S.E.R

Hii ni muhimu kwa ajili ya kupunguza Mafuta yako Mengi Usoni, Vumbi, Jasho N.K
Active indrigrient; Salicylic Acid✔
Kiungo Hiki ndio hasa Hufanya kazi ya Kunyonya Mafuta, Utumiaji wa Kiungo hiki unashauriwa pia uzingatie matumizi ya #sunscreen Kwani hufanya Ngozi kuwa prone na mionzi ya Jua kwa Matokeo mazuri Zaidi.

#facialcleanser
#Neutrogenacleanser
#teamoilskin
#Thebestcleanser
— at Mlimani City.

No comments:

Post a Comment