MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, June 15, 2017

KIMYA KINGI KINA MSHINDOO!!! HAPPY #NEWARRIVALS

Ukitumia creme Kali afu bdae ukaacha huwa kuna mabaka flani yanatokea kama Umeungua Hivi!!
Afu Kuna Hii inaitwa
Melasma
HABARI YAKE,
DUNIA NZIMA.
NI
#MELADERM 🌟🌟🌟🌟🌟
🔴 4Hyperpigmentation.

Instock
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
CALL 0753482909
FOR DELIVERY.

MOST WANTED SCENT #FOREVER RED SHOWERGEL

FOR THE LOVE OF GENTLEMEN NOT MEN!!

Wanaoijua Hii wao wanakusisitizia
Ukitaka uione shughuli
Pata Original tu!!


#clearessence
🔼 CREME
Imesumbua sana toka miaka hiyo mpka sasa inabamba, narudia original lakini!!

OFFER; @45000


Available
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Opposite
#totalpetrolstation

CALL 0753482909
FOR DELIVERY.


Hii ndo #otentika
🔼Fade Creme
Mahsusi kwa wale wenye Ngozi kavu Usoni.
Ingawa kuna wengine huitumia mwilini hii tunairecommend Kwa USONI tena kwa wale wenye #Dryskin maana iko So Oil so ukiipaka ukiwa Oil Pia inaweza isikupende sana.

#Kitukitamu
#Rangiadhimu
#Ngozinyororo
#Mng'aothabiti

OFFER: 70,000

Available
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
CALL 0753482909
FOR DELIVERY.

Small as it is,
STRONG MORE THAN IT LOOKS,


Kadogoo lkn Nguvu YA tembo
Ndo Shughuli ya #otentika
Serum.
#otentika
🔺SERUM
Hii imix kwenye lotion, creme ama ipake yenyewe kwa mbaaali utaielewa mnoo mnooo.

OffER: 50,000/=

Tunapatikana
#mlimanicity
Opposite #totalpetrolstation
#universityroad
#call&whatsup0753482909
#Door2Doordelivery

kama Karangi kako hakaeleweki eleweki afu mwilini ngozi yako ina ukavu ukavu
Kitu ni Hiki

#otentika
🔺MAXTONE LOTION
For #DrySkin

OFFER: 70,000/=


Ipo kwetu
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Opposite #totalpetrolstation
#universityroad
#call&whatsup0753482909
#Door2Doordelivery 🚴

IF YOU WANNA BE VERY SEXY WEAR THIS...

0ne if the Very Best #shampoo

#Sheamoisture
With JAMAICAN BLACK CASTOR OIL

#shampoo

#Vituvizuri
#Kwanywelenzuri


OFFER: 50,000/=

Utafute hutojutra

We GOT It
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Opposite #totalpetrolstation
#universityroad
#call&whatsup0753482909
#Door2Doordelivery

Is Here Again....

#Sheamoisture
With Jamaican Black Castor Oil

#leaveinconditioner

Kati ya bidhaa adimu na inayofanya vizuri sana kwa watu wote wa #teamnaturalhair na hata wa wale wa Dawa.

Ni conditiner nzuri inayozifanya nywele zako ziwe moisturizered. JBCO iliyomixiwa humu ndo chachu ya kuzipa nywele zako mng'ao kukua na hata kuzuia Zisikatike.
UZURI wa #conditiner hii haioshwi ukiipata tu shughuli imeisha na iki ndo kinachoipa Chat mpk Kesho.Utaipata
@ak_classic_cosmetics

No comments:

Post a Comment