Ingawa Stage Hii
— at Mlimani City.Tunairuka sana Kwa Kawaida WATAALAM wa Mambo Wanashauri Mara Baada Ya Kucleanse (Kuosha Na Cleanser) HATUA INAYOFATA HUWA NI kutone (apply Toner) Tofauti na Cleanser ambayo hupakwa kisha na kuoshwa na Maji Toner hupakwa Na Kuachwa... Je Hii ni Moisturizer?? Hapana. Baada YA kutone Ndio hufatiwa na Moisturizer!! KAZI YAKE Baada ya Kuosha Vinyweleo (Pores) Huwa WAZI kimsingi ivi havitakiwi kuwa wazi matumizi ya Toner huziba zile pores pasi na madhara ili uchafu kama Vumbi n.k usiiingie! #Neutrogena TONER✔ hushauriwa zaidi na Watu wenye Ngozi za Mafuta Na Kawaida(Oil& Dry skin) Unataka BIDHAA na Ushauri Usisite Kutuona Tunapatikana #mlimanicity Opposite NA #totalpetrolstation #universityroad #call&whatsup0753482909 #Door2Doordelivery 🚴 |
MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.
Thursday, April 20, 2017
JE MNAFAHAMU UMUHIMU WA TONER? STAGE 2
UNAWEZA KUWA HUNA CHUNUSI LAKINI SI SABABU YAB KUACHA KUOSHA USO WAKO!! TUMIA JAMII HII
Either Uso Wako
— at Mlimani City.Una Mafuta(Oil) ya Kawaisa (Normal skin)Ama Mkavu (Dry skin Aina Hii ya Cleanser (Mild Cleanser) Ndo Zenyewe. #Aveeno✔ C.L.E.A.N.S.E.R Kimsingi unashauriwa Kuhakikisha unaosha Uso Wako Walau mara 2 kwa Siku Kwa ajili ya Kuuweka Sawia Dhidi Ya vitu kama Jasho, Vumbi n.k USO Uliooshwa vizuri hupumua vizuri kwani Cleanser hizi Hufungua Pores Za Ngozi ya Uso wako na Kuufanya kuwa Fresh... ❎N.B Wadada Mnaotumia Makeup Kama hutumii Makeup Remover ✔ na wala Huna Cleanser Basi huutendei Haki hata Kidogo Uso wako. Kwann? KWASABABU; makeup asilimia kubwa Hufunga pores za Uso na Kuufanya Uso upumue Kwa Shida So utumiaji wa Cleanser Ndo njia Nzuri ya Kufungua PORES zilizoshinda kutwa zimeziba ambayo si nzuri kwa afya ya Ngozi Yako. #Freemadini #AfyayaNgozi #Liquidcleanser the Best #Oilskin treatment #Getthemoriginal Cleanser Za Namna Hii Tunazo @ak_classic_cosmetics Tunapatikana #mlimanicity Opposite #totalpetrolstation #universityroad #call&whatsup0753482909 #Door2Doordelivery |
MSUMBUKAO NA CHUNUSI NA RUSHES WOTE HII YA KWAAJILI YENU!!
Kwa Wale Wenzangu,
— at Mlimani City.Wenye USO wa Mafuta, #Teamoilface😕 HATUA ya 1 NaWaletea Hii Namba 1 inayoshauriwa na wataaalam Wa Ngozi.... Yenye Fleva Ya upinkish Unahitaji Hii #Neutrogena✔ ACNE WASH OIL FREE PINK GRAPEFRUIT C.L.E.A.N.S.E.R Hii ni muhimu kwa ajili ya kupunguza Mafuta yako Mengi Usoni, Vumbi, Jasho N.K Active indrigrient; Salicylic Acid 2%✔ Kiungo Hiki ndio hasa Hufanya kazi ya Kunyonya Mafuta, Utumiaji wa Kiungo hiki unashauriwa pia uzingatie matumizi ya #sunscreen Kwani hufanya Ngozi kuwa prone na mionzi ya Jua kwa Matokeo mazuri Zaidi. MATUMIZI Osha Uso MARA 2 kwa Siku Asbh na Jioni. #facialcleanser #Neutrogenacleanser #teamoilskin #Thebestcleanser |
NEUTROGENA CLEANSER HAIJAWAI KUMWANGUSHA MTU MWENYE MAFUTA USONI!!
Kwa Wale Wenzangu,
— at Mlimani City.Wenye USO wa Mafuta, #Teamoilface😕 HATUA ya 1 Unahitaji Hii #Neutrogena✔ ACNE WASH OIL FREE 👍 C.L.E.A.N.S.E.R Hii ni muhimu kwa ajili ya kupunguza Mafuta yako Mengi Usoni, Vumbi, Jasho N.K Active indrigrient; Salicylic Acid✔ Kiungo Hiki ndio hasa Hufanya kazi ya Kunyonya Mafuta, Utumiaji wa Kiungo hiki unashauriwa pia uzingatie matumizi ya #sunscreen Kwani hufanya Ngozi kuwa prone na mionzi ya Jua kwa Matokeo mazuri Zaidi. #facialcleanser #Neutrogenacleanser #teamoilskin #Thebestcleanser |
KAMA UNA USO WA MAFUTA ISIKUPITE HII NTAKUPA NA SABABU!!
Kwa Wale Wenzangu,
— at Mlimani City.Wenye USO wa Mafuta, #Teamoilface😕 HATUA ya 1 Unahitaji Hii #Neutrogena✔ DEEP CLEAN👍 C.L.E.A.N.S.E.R Hii ni muhimu kwa ajili ya kupunguza Mafuta yako Mengi Usoni, Vumbi, Jasho N.K Active indrigrient; Salicylic Acid✔ Kiungo Hiki ndio hasa Hufanya kazi ya Kunyonya Mafuta, Utumiaji wa Kiungo hiki unashauriwa pia uzingatie matumizi ya #sunscreen Kwani hufanya Ngozi kuwa prone na mionzi ya Jua kwa Matokeo mazuri Zaidi. #facialcleanser #Liquidcleanser #Neutrogenacleanser #teamoilskin #Thebestcleanser Tunapatikana #mlimanicity Opposite na #totalpetrolstation #universityroad #call&whatsup0753482909 #Door2Doordelivery Wamkoani tunawatumia kwa bus |
UNA USO WA MAFUTA?? UNAHITAJI HII MOISTURIZER YENYE MPK SUNSCREEN #KIBOKO
Ukishakuwa na Ngozi yenye Mafuta (OilSkin)
— at Mlimani City.NA HATA ( Normal Skin) HATUA ya 3 Zingatia unaChopaka!! Maana ukiwa Oil na Ukapaka Vitu Vyenye Mafuta utaamsha Madude😠😠 HII iNAWAHUSU HASA Zaidi Ndugu zangu wenye Chunusi maana Hao asilimia Kubwq wana oil Skin. Please Zingatia Ili Ni Muhimu Munooo!! Tafuta Kitu Ambacho ni #Oilfree Kama hii #Neutrogena #Oilfree Moisturizer Yenye #Sunscreen Kabisa. What else unataka???😅 Na Upake Baada Ya Kuzingatia Hatua Ya Kwanza na Ya Pili Yaani Kucleanse na Kutone. ❎N.B Unaweza Miss Kutone But never Miss Kucleanse ( KUOSHA Uso Wako). Njoo madini haya UTAYAPATA #MLIMANICITY OPPOSITE #TOTALPETROLSTATION #UNIVERSITYROAD #CALL&WHATSUP0753482909 |
UNATAFUTA KITU CHA USO KILICHO POA??
|
Subscribe to:
Posts (Atom)