MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, December 5, 2012

>>>Melasma kiboko yake yupo AK Cosmetics....(Dawa ipo AK Cosmetics)
Kama ukiangalia vizuri hiyo ngozi utaona rangi mbili, sasa huu ugonjwa unaitwa MELASMA. It is common during pregnancy. Darkening of facial skin across cheeks, around eyes and over the forehead. It is common amongst those who take contraceptive pills.Hata kwa watu wa kuanzia miaka 40 na kuendelea hasa pale kwenye MENOPAUSE.Nina uhakika umeshakutana na watu wengi wenye hili tatizo ukajipa jibu mwenyewe KAUNGUA HUYO NA MKOROGO.Hapana ni ugonjwa wa ngozi.Kama utamuona mtu yoyote mwenye tatizo hili nakuomba muelekeze AK Cosmetics,dawa tunayo ya kuifanya ngozi yake irudi kama zamani. 

No comments:

Post a Comment