MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, December 10, 2012

>>>Hand Cream size ndogo ya kuingia kwenye pochi zipo AK Cosmetics...

Stress Relief - Eucalyptus Spearmint Hand Cream - Aromatherapy - Bath & Body WorksShea Cashmere & Silk Hand Cream - True Blue® Spa - Bath & Body WorksShea Cashmere Hand Cream - True Blue® Spa - Bath & Body Works
Hii mikono mara zote inafichua siri ya umri yetu.Je unajua ni kwa nini?sababu hatuijali.Ngozi ya mikono inamakunyanzi sababu haipakwi mafuta.Haya mafuta ya kupaka mikono yako yapo dukani,kazi kwako.

No comments:

Post a Comment