MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Saturday, December 8, 2012

>>>Makeup Remover Cleansing Cloths.....@ AK Cosmetics...

 
Katika vitu muhimu kuwa navyo kama wewe ni mtumiaji MAKEUP hiki ni kimojawapo.Hata kama umechokaje usilale na makeup usoni.Sasa kama umechoka ya kufa mtu ndio utatumia cleansing cloth.(Kwa sie wa disco nani anataka kunawa uso alfajiri?)

No comments:

Post a Comment