MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, December 20, 2012

>>>AISEE KAMA HUJAWAHI KUJARIBU HATA MOJAWAPO KATI YA HIZI BASI USIJE UKASEMA "ooh mie chunusi zangu hazitibiki nshajaribu kila dawa naishia kuliwa pesa zangu tu'"!!MAMBO IKO HUKU bana!!!

HII BWANA INAITWA ACNE FREE (americas # 1 acne treatment) INA BRUSH YAKE YA KUSAFISHIA KABISA!!sifa zake em igoogle kidogo!!

MOJA KATI YA BIDHAA HADIMU LAKINI MADHUBUTI KABISA (PALMERS)

HII NAYO ACNE FREE ILA HII NI KWA WALE WENYE NGOZI ZA KUSIKILIZIA KAMA ITAFANYA NINI BAADA YA KUPAKA KITU KIPYA. Haya wakina mama/big sisters/big brothers, wadogo zenu walionza kukua na kwa bahati mbaya ngozi zao ni za CHUNUSI basi wanunulieni dawa yaani jinsi vinavyokukela wewe na yeye ndio hivyohivyo ila basi tu hana hela,kuwa msamalia mwema basi.
 
***Usije ukasema dawa zote hazifanyi kazi!maana haujajaribu zote.Mimi ni mfano hai nilishasema kitu fulani hakina tiba kumbe nilikuwa sijajaribu dawa itakayonipenda."Winners never quit and quitters never win.Kazi kwako.....

No comments:

Post a Comment