MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, July 16, 2012

>>>Its IMAN vs MAC nani mkali?

Iman yeye anaua ndege wawili kwa jiwe moja kitu kinakuwa na powder na foundation humo humo,hiyo nyeusi kwa wale wenye uso wa mfuta ,afu hiyo nyeupe kwa wale wenye  uso mkavu!!Kazi kwenu

Kila Mtu anamjua MAC,yes Mac but original MAC....Hii sasa ni shimmer

No comments:

Post a Comment