MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, July 1, 2012

..BreaKing NEwS>>>AK ClasSiC ndani ya Viwanja vya 77,katika banda la Alli Hassan Mwinyi!!!

Baada ya kushop,unatuachia contact zako kwa ajili ya update ya new stock,discount info..n.k

Kila mtu anajisevia chake...kazi ni kwako!!

Ak classic winning team!!

weeeeee subiri kwanza tuweke swaaag!!

Nimpende naniiiiiiiiiiiiiiiiiii???

"Hutu tuvijana tuna vidude vizuri vizuri...!!"

Mbona kila nayogusa nzuuuuriiiiii jamani nashindwa kuchagua!!

Kijana mbona my wife wangu hataki kuondoka hapa kwa banda lako!!!???vidubwasha gani hivi!!?

AK CLASSIC beibeeeeeeeeeeeeee!!

Yaaani hii unatumia 2 mara 3.LOLest

No comments:

Post a Comment