MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, July 17, 2013

NEW ARRIVALS @AK CLASSIC COSMETICS!!!

SIKU ZOTE TUMEKUWA WA KUTAFUTA SULUHISHO LA JUU YA NGOZI LAKINI WATAALAM WA MAMBO WANAKWAMBIA TIBA YA UKWELI INAANZIA NDANI!!HAYA SASA AK CLASSIC TUMEAMUA KUWALETEA SUPPLIMENTS AMBAZO ZITASAIDIA KUREKEBISHA NGOZI,KUCHA,NYWELE KUANZIA NDANI KWA NDANI!!UZURI MMOJA WA HIVI VITU VIMEPIMWA NA KUTHIBITISHWA!!

WATALAAM WA MAMBO WANASEMA MILO YETU MARA NYINYO SUALA LA GI INAKOSA KUTUPA VIRUTUBISHO VYOOTE AMBAVYO MWILI UNAHITAJI ILI NKUWEZA KUSTAWISHA KILA KITU KATIKA KIWANGO MADHUBUTI HIVYO SWALA LA SUPPLIMENTS SIO KITU CHA KUFANYIA MASKHAHA KAMA TUNATAKA NGOZI ZETU ZIWE ZA KUVUTIA NA KUPENDEZA!

YES HII NI KWA AJILI YA USTAWISHAJI WA NYWELE,NGOZI NA KUCHA!!

KATI YA VITU AMBAVYO SASA VINASUMBUA WENGI WETU  NA KUTUNYIMA AMANI NI KWAPA KUWA JEUSIIIII!!SASA TIBAAA IMEPATIKANA!!ETREME BRITE NI KIBOKO YA ILO TATIZO!!UNAITUMIAJE ILI IMALIZE ILI TATIZO....@AK CLASSIC INAHUSIKA!!!

INTIVAR BRING BACK THE PLEASURE!!

BAADA YA MAKELELE MENGI KWENYE BODY SPLASH SASA @AK CLASSIC TUNATAMBULISHA KITU KIPY,NACHO SI KINGINE BALI SABUNI ZA KUFULIA ZA VICTORIA SECRETS,SABUNI IZI MBALI NA KUWA NA NGUVU ZA AJABU KATIKA KUFUA NGUO ILIYOFULIWA NA SABUNI HII WALAU HAIITAJI PERFUM TENA JINSI INAVYONUKIA!!YAAANI NI BURUDANI ISIYO NA KIFANI UNAPOPIGILIA NGUO ILIYOFULIWA NA HII SABUNI!!

JAMANI WALE WALIOKUWA WAMEKOSA EXTREME GLOW SASA ZIMEFIKA,WAHI WAHI LAWAMA SITAKI!!

MPENDE BOYFRENDO,MUMEO/BROTHER

AKINUKIA VIZURI SIFA ZOTE KWAKO!!

MAMBO YA UMBO NAMBA NANE BABU WEE!! KUWA NA TUMBO INAHU...!!!KITU KINAITWA BUTT LIFTER KINALIFT USAFIRI HUKU KIKITIGHT TUMBO,BAADA YA SIKU KADHAAA TUMBO LINAKAA KWENYE RELI LENYEWE!!!

HAYA NISEME NINI SASA!!??

No comments:

Post a Comment