MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, July 15, 2013

>>NEUTROGENA OIL FREE ACNE WASH AVAILABLE @AKCLASSIC!!

MARA NYINGI WALE WENZANGU NAMIE AMBAO TUNA NGOZI ZENYE MAFUTA TUMEKUWA TUKISUMBULIWA SANA NA CHUNUSI,LAKINI BILA KUJUAAU KUPATA USHAURI KUTOKA KWA WATAALAM TUMEKUWA TUKITUMIA VITU/PRODUCTS ZENYE MAFUTA PIA,HILI NI KOSA KUBWA SANA!!!KAMA NGOZI YAKO NI YA MAFUTA UNAHITAJI KITU AMBACHO HAKINA MAFUTA(OIL FREE) ILI KUIWEZA KUMATCH NA CHEMISTRY YA NGOZI YAKO!! KWA KULIZINGATIA ILI NEUTROGENA WANA VITU MAALUM VISIVYO NA MAFUTA KWA AJILI YA AINA YA NGOZI YAKO,TENA IKIWA IMENAKSHIWANA FLAVOUR ZA MATUNDA!!KAZI KWAKO NA @AK CLASSIC

No comments:

Post a Comment