MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, May 20, 2013

>>>TUNAPENDA KUWAJUZA KUWA SASA MZIGO MUPYA MLIOKUWA MKIUSUBIRI KWA HAMU UMEINGIA!!

STOCK TAKING IKIENDELEA...

WALE WAKUNUKIA KIDESIGNER DESIGNER HATUWEZI KUWAACHA!!MAMBO YENU YAPO..

WALE WA KUPIGA MSASA NGOZI ZAO ILI ZISIFUBAE VITU VILIVYOTHIBITISHWA HIVI HAPA!!INAITWA ETREME GLOW MAMBO YAKE YANAKUBALIKA SAAANA TENA SAAANA!!!

OTETINKA AMEKUJA KUFANYA MAPINDUZI!!AMA KWA HAKIKA KAZI YAKE IMEONEKANA!!AYA WALE MLIOKUWA MMEKOSA SASA ZIMEFIKA SET KAMILI!!!

SET KILA IDARA!!

KUNA HAJA YA KUTUPIA NENO!!HAYA KIBOKO YA YAO WANAOTAKA KUPUNGUZA NYAMA ZA ZIADA!!

BAADA YA MAOMBI MENGI KUTUA MEZANI,NIMEWALETEA MAFUTA YA UKWELI KWA AJILI YA NYWELE ZENU!!KAMA KAWAIDA WEE JARIBU TU VITU TOFAUTI UPATE UZOEFU TOFAUTI!!

IDARA YA KUWEKA NGOZI YA USO SASA KAMWE HAIWEZI KUSAHAULIKA!!!CHUNUSI ZINATIBA NA TIBA NI KUJUA UZIPE NINI NA WAKATI GANI!!

IDARA YA MICHIRIZI TUNAE SKINCEPTION NAE AMEFANYA KAZI KUBWA SAANA!TENA SAANA!!

No comments:

Post a Comment