MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, May 16, 2013

>>>REAL MOISTURIZING GEL OIL WITH SUN PROTECTIVE FACTOR 15+

JANA NILIKUWA NAZUNGUMZIA UMUHIMU WA SUNSCREEN,HII PRODUCT INAKUFANYA NGOZI YAKO IWE NYORORO NA MURUA PILA INAKUKINGA DHIDI YA MIONZI HATARI YA JUA!!KWAHIYO KWA MANENO MENGINE UNAPIGA NDEGE WAWILI KWA JIWE MOJA!!NINI TENA UNATAKA???

No comments:

Post a Comment