MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, May 8, 2013

>>>NAOMBA NIWAPE MREJESHO WA OTENTIKA WADAU WETU!!


HII NI ILE SET YA PINK AMBAYO NI KWA AJILI YA WATU WENYE NGOZI KAVU,KWA HAKIKA MATOKEO YA WATEJA WETU WOTE WALIOTUMIA HII PRODUCT IWE SET NZIMA AU MOJA KATI YA HIZI,WAMESHUHUDIA MAPINDUZI MAKUBWA YA NGOZI YAO!!KWANZA IMEIFANYA NGOZI KUWA NA RANGI YA CHOCOLATE,LAINI,YENYE MVUTO WA AINA YAKE!!KWA HAKIKA WAMEIKUBALI SAANA!!SAAANA!!

HII NDO ILE SET YA WATU WENYE NGOZI YA MAFUTA,KAMA ILIVYO KWA SET YA PINK TOFAUTI ILIYOPO NI KWAMBA YA PINK IMEONGEZEWA "GREASE" YA ZIADA ILI IWEZE KUENDANA NA NGOZI ILIYO KAVU,TOFAUTI NA HII KWASABABU WATU WENYE NGOZI YA MAFUTA HUWA TAYRI NGOZI INA MAFUTA HIVYO HAITAJI "GREASE" YA ZIADA!!MATOKEO KAMA NILIVYOSEMA MWANZO HUIFANYA NGOZI KUWA CHOCOLATE,LAINI KANA KWAMBA IMEFANYIWA SCRUB,NYORORO NA YENYE MVUTO WA AINA YAKE!!

No comments:

Post a Comment