MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, May 12, 2013

>>>NA SASA NI MREJESHO WA UNREFINED SHEA NA BIOIL KWENYE STRETCH MARKS!!SURPIS

SURPRISINGLY MWAZONI  KUNA MDAU WETU  ALITUMIA AKASEMA ZA KWAKE ZILIISHA KABISA!!I WAS LIKE WHAAT!!!MBNA WANASEMAGA HIZI KITU HAZINA TIBA!! KAMA KAWAIDA NIKAENDELEA KUPATA FEEDBACK(MREJESHO) KUTOKA WADAU WENGINE KWAKWELI WENGI WAMEIKUBALI NA WANASEMA IMEWASAIDIA KWA KIASI KIKUBWA KUPUNGUZA ILE MISTARI ILIYOKITHIRI!!SASA HATA WALE AMBAO WALIKUWA HAWAWEZI KUVAA NGUO ZA WAZI HASA SEHEMU ZA MABEGA SASA WANAWEZA KUVAA BILA WASI WASI!!!unabishaaa?jaribu!!

No comments:

Post a Comment