MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, August 6, 2012

>>>Siku zoote zingatia Haya unapotibu chunusi!!!

Hii ina vitu viwili kwa pamoja,CLEANSER hapo hapo ina TONER alafu inafit aina zoote za ngozi!!!

Kwa kawaida,ukishamaliza kuaply Cleanser na toner,Hii ndio inafata!!Kwa wale wenye ngozi za mafuta saana hii plz isikupite!!!

No comments:

Post a Comment