MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, August 25, 2016

THE MUST HAVE!! #PALMERS MOISTURIZING GEL WITH SPF 15

Kama umebahatika kusoma #maelezo yangu ya #skintherapyoil Sasa katika hii copy yote yale KISHA mimi naongezea neno moja hili HII ni ๐Ÿ‘ ZE
#musthave

Tofauti ya hii na ile hii iko nzito kidogo.
Alafu hii sitakuuliza zile maswali za pale juu.Hii nakwambia beba tu.

Hakuna aliyewahi Jutia kuwa ha hii sana sana ni lawama wakikutaga nimeishiwa๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•

TaHADhaRI: Usiqoute maneno yangu ukienda chukua za Mafungu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ


SASA ziko Kwa Stock
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Opposite #subway
#SurveyRoad

#call&whatsup0753482909
#DOOR2DOORDELIVERY

No comments:

Post a Comment