MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, September 8, 2016

COCA BUTTER YA AJABU!! #AMERICANDREAM

Kama mjuavyo utumiaji wa #cocoabutter✔ wa mara kwa mara husaidia kuondoa taraaatibu michirizi itokanayo na Ujauzito, pia Cocoa butter hutibu Ngozi kavu kupitiliza.
ZAIDI na zaidi matumizi ya #Cocoabutter huifanya Ngozi iwe nyororo na Ng'avu.

Basi Bana Baada Ya Ile INGINE tuliyoizoea wamekuja na Hawa #AmericanDream Cocoabutter Cream. ✔Hawa kwanza wameichukua ileile #cocoabutter wakaongezea kitu kinaitwa VitaminE (nishaielezea sana hii humu) balaa lake!!
Kisha hii wamepunguza kwa Kiasi kikubwa yale Mafuta yanayokufanya ukipaka Ile uwe kama Kitumbua😅😅 ✔Kutokuwa na Mafuta kunafanya hii tuipe 🚦 ( Greenlight) kupaka usoni. Wale ndugu zangu wa OIL + sensitive skin bado tutaitaji kushauriana Zaidi. ✔Wale Wenye Ngozi kavu kuliko kawaida hapa, yaani mtu Anakwambia anapauka mpk basi iwe shauri ya Hali ya hewa ama Asili yako, aisee hii kwa Ajili yako✔!! Mzigo baada Ya Kuuthibitisha
SASA nnao Kwa Shop
#Mlimanicity
Opposite #subway

No comments:

Post a Comment