MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, August 25, 2016

JE NGOZI YAKO KAVU,INA MABAKA,MICHIRIZI NA RANGI ZAIDI YAMOJA?

Wengi wanaijua kama BIOL ya palmers😆
Hii ndo
#skintherapyoil
Aisee kama wewe ngozi yako tata kidogo, kavu kupitiliza, mjamzito, una michirizi hii sio ya kukosa kwa Dressing table!!
Uzuri wa Hii Oil, haikubani kwamba usitumie kitu chako ulichokizoea na aunachokipenda hapana!!
Wee kuwa na Mafuta yako hayo unayoyapenda sana lakini hii pia Kuwa nayo, Paka pamoja ama changanya matokeo yako kwa Ngozi hutajutia!!
Tena kama una michirizi nitafute personally nkupe siri kubwa ya Hii utumie na nini uone matokeo ya Ajabu, ila tu uaitegemee matokeo ya Usiku mmoja.

Itafute...
KAZI KWAKO.

KWETU Ipo
@ak_classic_cosmetics

No comments:

Post a Comment