MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, April 1, 2013

>>Vipodozi kwenye HANDBAG shurti viwe na department yake!!

HII NI POCHI NDOGO INGAWA KWA PICHA IN AONEKANA KAMA KUBWA HIVI NI KAMERA TU IMEIKUZA!!HII  INAKAA NDANI YA HANDBAG,NDANI YA HII NDO UNAWEZA MAZAGA ZAGA YAKO YOTE KUANZIA:- POWDER,FOUNDATION,KITANA,LIPGLOSS,EYELINER,MASCARA,EYE SHADOW N.K

No comments:

Post a Comment