MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, April 17, 2013

>>>MSISAHAU..SIRI YA MWONEKANO MZURI WA USO WAKO NI KUUOSHA UZURI JAMANI!!

HIVI NI BAADHI YA VITU UNAWEZA KUTUMIA!!ZINGATIA:USO NI KITU AMBACHO NI SENSITIVE SANA HASA WALE WENZANGU NAMIE WENYE NGOZI YA MAFUTA,MAANA WAO KIDOGO TU UMESHAREACT!!

HIZI NI PRODUCTS HATA WALE WENYE NGOZI ZA MAFUTA WANAWEZA KUTUMIA!!NA HIZI HAIJALISHI UNA CHUNUSI AU HAUNA UNAWEZA,NDO MAANA NASISITIZA SIRI YA MUONEKANO MZURI NI KUZINGATIA KUOSHA VIZURI USO WAKO!!

CLEARASIL NI MIONGONI MWA PRODUCT ZINAZOFANYA VIZURI SANA!!

No comments:

Post a Comment