MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.
|
CHEERS MAMBO IKO #AKCOSMETICS #MLIMANICITY |
|
UKITAKA KUIJUA IYO INAITWA #EXTREMEGLOW SHUGHULI YAKE SIO INAELEWEKA VILIVYO! UNAAMBIWA INAKUPA ILE RANGI TUNAITA #RANGIYAPESA YAANI HATA KAMA HUNA MIA KWA HANDBAG RANGI INAKUBEBA!! CHEZEEEYA!! |
Kama kuna Kosa unalifanya kuhusu muonekano Wako!
Basi KUTOKUTUMIA #sunscreen ni kosa Lako la Kwanza.
Jus imagine Jua la sasa lilivyo KALI💯 Waka kama MOTO🔥
Alafu hujaaply kitu chochote cha kublock Mionzi mikali ya Jua, Pengine
umepaka Kilotion chako Flani unakiamini unasubiri uone kangozi kashine
aysee Hautaona Matokeo yoyote na Kama ulishaanza kushine Utaona sasa
Unafubaa tarataribu!!!
KWANINI?
NI kwasababu mionzi inayokupiga moja kwa moja inafifisha Ngozi.
CHA KUFANYA..
Anza/Jifunze matumizi ya #sunscreen ni muhimu sana kwa muonekano bora wa Ngozi yako.
N:B Kwa Wale wanaotumia Lotion/Creme Kali matumizi ya #sunscreen ni
lazima kuliko unavofikiria kwani kinyume Chake ndio utaona Uso hasa
sehemu za Macho unapata Weusi unaojulikana sana KAMA #darkcycle.
Njoo Ujipatie #Neutrogena
#sunscreen spf 70-110.
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
|
JE UNASUMBULIWA NA CHUNUSI NA UMETUMIA AINA YA TIBA MBALIMBALI LAKINI WAPI? UMESHAWAHI KUTUMIA BIDHAA ZA NEUTOGENA? HAWA NDIO WANAONGOZA DUNIA NZIMA KWA KUTOA TIBA BORA ZA CHUNUSI.. WANA KILA KITU KUANZIA CLEANSER,TONER,SCRUB,MOISTURIZER NA LOTION N=BIDHAA ZAO ZIMETHIBITISHWA NA MADAKTARI BINGWA NA KUPEWA TAA YA KIJANI.UKIJA KWETU TUTAKUSHAURI NINI INAKUFAA KWA NGOZI AINA GANI KWANI ZIKO ZA KILA AINA.KARIBU SANA!!!! |
|
JE UNASUMBULIWA NA MVI KIASI CHA KUKUPA STRESS MPAKA UKAKOSA RAHA? SASA STRESS BASIIIIII TUMEKUJA NA HII #COVERYOURGRAY KUHAKIKISHA NYWELE ZAKO ZOTE ZINAKUWA RANGI MOJA NYEUSIIIII!! NJOO KWETU TUKUONESHE |
|
HII ndo Shughuli ya #meladerm✔
Kama uso wako umepatwa na kitu cha namna hii Au unamfahamu mtu
anatatizo la namna Hii ambalo hujulikana zaidi kama Melasma, Basi
Mshauri Aje Kwetu atuone tumpe Solution yake. #meladerm Imethibitishwa na wataalam kwakuwa imetengenezwa na viungo asilia visivyo na kelele na wala Kukubadilisha Rangi. Wahi ZIKO Chache! @ak_classic_cosmetics Tunapatikana #mlimanicity Opposite #subway #universityroad #call&whatsup0753482909 #Door2Doordelivery Wamkoani tunawatumia kwa bus |