MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, October 20, 2016

KAMA hUTUMII SUNSCREEN KWA JUA HILI JIFIRIE MARA MBILI!!!

Kama kuna Kosa unalifanya kuhusu muonekano Wako!
Basi KUTOKUTUMIA #sunscreen ni kosa Lako la Kwanza.

Jus imagine Jua la sasa lilivyo KALI💯 Waka kama MOTO🔥

Alafu hujaaply kitu chochote cha kublock Mionzi mikali ya Jua, Pengine umepaka Kilotion chako Flani unakiamini unasubiri uone kangozi kashine aysee Hautaona Matokeo yoyote na Kama ulishaanza kushine Utaona sasa Unafubaa tarataribu!!!

KWANINI?
NI kwasababu mionzi inayokupiga moja kwa moja inafifisha Ngozi.
CHA KUFANYA..
Anza/Jifunze matumizi ya #sunscreen ni muhimu sana kwa muonekano bora wa Ngozi yako.

N:B Kwa Wale wanaotumia Lotion/Creme Kali matumizi ya #sunscreen ni lazima kuliko unavofikiria kwani kinyume Chake ndio utaona Uso hasa sehemu za Macho unapata Weusi unaojulikana sana KAMA #darkcycle.

Njoo Ujipatie #Neutrogena
#sunscreen spf 70-110.
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity

No comments:

Post a Comment