Karibu sana #akclassicosmetics tumeshusha mzigo mupyaaaa.kuanzia nywele, bidhaaa za nywele, bidhaa za ngozi, bidhaa za Chunusi, bidhaa za kung'aza. KARIBUNI SANA. #0753482909
MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.
Thursday, September 22, 2016
Je una chunusi Sugu zinakusumbua mara kwa mara??
Hii ndo #acnefreeclearingsystem kiboko ya chunusi sugu zinazopenda kujirudia. Kama una chunusi na umeshatumia vitu vya kila aina lakini hupati matokeo mazuri kiboko yake hii hapa...njooo #akclassic0753482909 tutatatua changamoto Hii.
Thursday, September 15, 2016
MTOTO WA KIKE KUFUBAA INAHU?
Friday, September 9, 2016
WEEKLY CUSTOMER'S BEST CHOICE THIS WEEK!!
Thursday, September 8, 2016
COCA BUTTER YA AJABU!! #AMERICANDREAM
Kama mjuavyo utumiaji wa #cocoabutter✔ wa mara kwa mara husaidia kuondoa taraaatibu michirizi itokanayo na Ujauzito, pia Cocoa butter hutibu Ngozi kavu kupitiliza. ZAIDI na zaidi matumizi ya #Cocoabutter huifanya Ngozi iwe nyororo na Ng'avu. Basi Bana Baada Ya Ile INGINE tuliyoizoea wamekuja na Hawa #AmericanDream Cocoabutter Cream. ✔Hawa kwanza wameichukua ileile #cocoabutter wakaongezea kitu kinaitwa VitaminE (nishaielezea sana hii humu) balaa lake!! Kisha hii wamepunguza kwa Kiasi kikubwa yale Mafuta yanayokufanya ukipaka Ile uwe kama Kitumbua😅😅 ✔Kutokuwa na Mafuta kunafanya hii tuipe 🚦 ( Greenlight) kupaka usoni. Wale ndugu zangu wa OIL + sensitive skin bado tutaitaji kushauriana Zaidi. ✔Wale Wenye Ngozi kavu kuliko kawaida hapa, yaani mtu Anakwambia anapauka mpk basi iwe shauri ya Hali ya hewa ama Asili yako, aisee hii kwa Ajili yako✔!! ⤵Mzigo baada Ya Kuuthibitisha SASA nnao Kwa Shop #Mlimanicity Opposite #subway |
Subscribe to:
Posts (Atom)