WALE WA VITAMBI VYA CHIPS MAYAI NA MATUMBO YA UZAZI TUONANE,NINA SULUHISHO HAPA #AKCLASSIC |
KATI YA VITU AMBAVYO VINAFANYA VIZURI SANA HASA UKIPATA HII KITU ORIGINAL NI FAIR AND WHITE CLARIFIANCE EXCLUSIVE WHITENIZER,WALE MNAOHAHA KUPATA KITU SAHIHI CHA USO JARIBUNI HII MTANIAMBIA!! |
MTOTO WA KIKE SHURTI UNUKIE!! KAMA HUJAWI KUIPAKA #FOREVERED BASI ITAFUTE NAKWAMBIA KWA HAKIKA UTASUUZIKAA!! |
BADO NAZIDI KUWALETEA VITU ADHIMU NA MARIDHAWA ILI MPATE KITU MNACHOKITAKA!! #TEAMNATURALHAIR HII PIA KWA AJILI YENU |
WALE WAPENZI WA HAIR COLOURING SAFARI HII SIJAWAACHA!!MAMBO HAYA HAPA RANGI PENDWA ZOTE NDANIII,FANYA KUPATA YAKO #NIACOLOUR UWONE UTAKAVYOROCK... |
KATI YA FOUNDATION NZURI ZAIDI HASA KWA WALE NDUGU ZANGU WA NGOZI ZA MAFUTA BASI NI COVERGIRL,ITAFUTE UPROVE MANENO YANGU!! |
WALE WAPENZI WA #CETAPHIL SIJAWASAHAU PIA |
MAMBO YA KUWEKA UNYWELE WAKO SAWA...PAMOJA NA ZILE ZINGINE NIMEWAONGEZEA ARGAN OIL,RAHA YA NGOMA UINGIE UCHEZE |
NAJUA WENGI MNAIJUA SANA SANA BIOIL SASA NIWAOMBE MUITAFUTE PIA HII #SKINTHERAPYOIL HUTOJUTRA! NA ILE INGINE SIO JABU UKAISAHAU KABISA!! |
WALE #TEAMKUNG'AA KITU CHA NONAME KIMETINGAAAA!!SI MNAJUA HUWA HAKIKAI ENHEEE?? LAWAMA SITAKI AYA WALE WENYE ODA ZENU MUWAHI MUWAHI.... |
KAMA WEWE UNAPAKA DEODRANT NA HUIJUI HII NATHUBUTU KUSEMA HUJAWAHI KUPAKA DEODRANT@@ENHEE NDIOO!! HII NDIO DEODRANT BORA KABISA AMBAYO SASA KILA MTU ANAYO KWENYE DRESSING TAB LE YAKO!! |
HIVI KWENYE BLACK SOAP HUWA WANAWEKA NINI?YAANI KITU KIKISHAKUWA NA BLACK YAANI SHUGHULI YAKE SI MCHEZO...DAAH NA F&W NAO WANA KITU CHA BLACK KAZI KWAKOOOO!! |
KISA CHA LIPS KUWA KAVU???MAMBO LIPBALM HAYO...NAZO ZIPO #AKCLASSIC ZAKUMWAGA TENA BEI CHEEE KABISAA |