MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, May 24, 2015

#SAFARI HII HATUJAMSAHAU MTU KUANZIA KUANZIA UNYAYONI MPAKA KICHWANI!!

HII NI KWA WALE WOTE WANAOPENDA MAMBO YA TWIST...SASA HII NDO STYLING GEL PENDWA ZAIDI KWA ZILE STYLE ZINAZOROCK SANA KWA SASAA!!..TUNAZO FLAVOUR ZILE MOST WANTED ZOTE HASA ARGAN OIL NA OLIVEOIL!! WAHI MZIGO UNAKATA!!

WALE WASIOPENDA MCHUBUKO WALA KUBADIILI RANGI ZAO HII ITAWAKUNA SANA!! BRONZE HUKUACHA NA RANGI YAKO VILE ILIVYO LAKINI ZAIDI KUONGEZEA MNG"AO NA KUIFANYA NGOZI YAKO KUWA CHOCOLATE FLANI HIVIII... ITAPENDEZA SANA UKIIPATA ORIGINAL ALAFU UKITUMIA SET ITATOKA VIZURI MNO! SET HAPA NAMANISHA UPATE CREME KWA USO LOTION KWA MWILI KISHA UMIX SERUM NDANI KISHA UWE NA SABUNI KWA AJILI YA KUANDAA NGOZI ILI LOTION NA CREME IKAE VIZURI!!!

KATI YA MATATIZO YANAYOTUMBUA WATU WENGI KWA SASA BASI NI MICHIRIZI!!BASI KAMA WEWE UNA MICHIRIZI HII ISUKUPITE!!WATALAAM WA MAMBO WAMEGUNDUA KUWA UKIMIX SKIN THERAPY NA SHEA BUTTER UKATUMIA KAMA MAFUTA YAKO YA KILA SIKU BAADA YA MUDA TANOTICE MICHIRIZI YAKO IKIPUNGUA TARATATIBU NA HATIMAE KUPOTEAAA!!INGAWA ZOEZI HILI HUCHUKUA MUDA KUTEGEMEA MICHIRIZI YAKO IKO SERIOUS KIASI GANI LAKINI IMETHIBITIKA PASI NA SHAKA KUWA INAFANYA KAZI VIZURI VIZURI VIZURI SANA...ZAIDI YA KUTOA MICHIRIZI MCHANYATO HUU HUFANYA NGOZI KUWA LAINI,NYORORO NA INAYONG'ARA!! JARIBU UONEEE!!

WALE WA VITAMBI VYA CHIPS MAYAI NA MATUMBO YA UZAZI TUONANE,NINA SULUHISHO HAPA #AKCLASSIC

KATI YA VITU AMBAVYO VINAFANYA VIZURI SANA HASA UKIPATA HII KITU ORIGINAL NI FAIR AND WHITE CLARIFIANCE EXCLUSIVE WHITENIZER,WALE MNAOHAHA KUPATA KITU SAHIHI CHA USO JARIBUNI HII MTANIAMBIA!!

MTOTO WA KIKE SHURTI UNUKIE!! KAMA HUJAWI KUIPAKA #FOREVERED BASI ITAFUTE NAKWAMBIA KWA HAKIKA UTASUUZIKAA!!

BADO NAZIDI KUWALETEA VITU ADHIMU NA MARIDHAWA ILI MPATE KITU MNACHOKITAKA!! #TEAMNATURALHAIR HII PIA KWA AJILI YENU

WALE WAPENZI WA HAIR COLOURING SAFARI HII SIJAWAACHA!!MAMBO HAYA HAPA RANGI PENDWA ZOTE NDANIII,FANYA KUPATA YAKO #NIACOLOUR UWONE UTAKAVYOROCK...

KATI YA FOUNDATION NZURI ZAIDI HASA KWA WALE NDUGU ZANGU WA NGOZI ZA MAFUTA BASI NI COVERGIRL,ITAFUTE UPROVE MANENO YANGU!!

WALE WAPENZI WA #CETAPHIL SIJAWASAHAU PIA

MAMBO YA KUWEKA UNYWELE WAKO SAWA...PAMOJA NA ZILE ZINGINE NIMEWAONGEZEA ARGAN OIL,RAHA YA NGOMA UINGIE UCHEZE

NAJUA WENGI MNAIJUA SANA SANA BIOIL SASA NIWAOMBE MUITAFUTE PIA HII #SKINTHERAPYOIL HUTOJUTRA! NA ILE INGINE SIO JABU UKAISAHAU KABISA!!

MKOMBOZI SASA AMEFIKA!!HUYU HANA MFANO...HII NI ZAIDI YA KOFIA KWANI ZAIDI YA KUHIFADHI NYWELE ZAKO PIA INAZILINDA<INAONGEZA  NG'AO NA KUZUIA NYWELE ZISIKATIKE KATIKE... SIJUI UNACHELEWA NINI!!! WAHI SASA HII NI LAZIMA UWE NAYO ASEE!!

WALE #TEAMKUNG'AA KITU CHA NONAME KIMETINGAAAA!!SI MNAJUA HUWA HAKIKAI ENHEEE?? LAWAMA SITAKI AYA WALE WENYE ODA ZENU MUWAHI MUWAHI....

KAMA WEWE UNAPAKA DEODRANT NA HUIJUI HII NATHUBUTU KUSEMA HUJAWAHI KUPAKA DEODRANT@@ENHEE NDIOO!! HII NDIO DEODRANT BORA KABISA AMBAYO SASA KILA MTU ANAYO KWENYE DRESSING TAB LE YAKO!!

HIVI KWENYE BLACK SOAP HUWA WANAWEKA NINI?YAANI KITU KIKISHAKUWA NA BLACK YAANI SHUGHULI YAKE SI MCHEZO...DAAH NA F&W NAO WANA KITU CHA BLACK KAZI KWAKOOOO!!

KISA CHA LIPS KUWA KAVU???MAMBO LIPBALM HAYO...NAZO ZIPO #AKCLASSIC ZAKUMWAGA TENA BEI CHEEE KABISAA

UNAFAHAMU KUCHA ZINA MARKS NYINGI SANA KATIKA MUONEKANO WAKO ENHEEE?SASA KWANINI UTUMIE VITU VYA KAWAIDA KAWAIDA TU!!HAIWEZEKANI BANA... UNAHITAJI VIWANGO NA VIWANGI VYEWENYEWE NDO HIVI...AYA SASA NAIL POLISH REMOVER ZA UKWELI HIZI HAPA #AKCLASSIC

No comments:

Post a Comment