MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, December 8, 2014

VINYWELEO VISIKUPE STRESS VILETE HAPA #AKCLASSIC

NAJUA NI JINSI GANI VINYWELEO VINAVYOWEZA KUKUNYIMA CONFIDENCE,HATA KUKUPELEKEA KUACHA KUPIGA KILE KIMINI CHAKO MATATA!!SASA STRESS ZOTE TUPA KULEEE #AKCLASSIC TUMEKULETEA KITU CHA #NAIR HAIR REMOVER HII NI NOUMA,NDO INAONGOZA KWA KUSHAURIWA KUTUMIWA NA WATAALAM(DERMOTOLOGIST) DUNIA NZIMA... UNAWEZA ITUMIA MIGUUNI,KWAPANI,MIKONONI NA HATA IKULU KASORO USONI TU!!

No comments:

Post a Comment