MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, June 20, 2013

>>>NEUTROGENA CLEANSER,FACE WASH,SCRUB & TONER NOW AVAILABLE @AK CLASSIC!!


JAMANI NADHANI NILISHAWAELEZA UMUHIMU WA CLEANSER,SASA SWALI NALOPATA MARA KWA MARA NI CLEANSERS ZIPI NZURI KWA NGOZI??neutrogena,clinique,cleasil,loreal SO FAR NI CLEANSER ZINAZOFANYA VIZURI SANA SOKONI!!KWA WALE WAPENZI WA SCRUB PIA NI KITU KIZURI INGAWA HAISHAURIWI UFANYA KILA SIKU WALAU MARA MOJA KWA WEEK INASAIDIA SANA!!

UNAPO CLEANSE USO WAKO WATAALAM WA MAMBO WANAKUSHAURI UTONE!!(TUMIA TONER) Kwa nini?MARA BAADA YA KUCLEANSE VITUNDU VYA NGOZI KUPUMULIA(PORES) HUACHWA WAZI NA BAHATI MBAYA HIZI TUNDU HAZITAKIWI KUACHWA WAZI KWA HIYO ILI UCHAFU,VUMBI VISIINGIE  KWEYE HAYA MATUNDU UNASHAURIWA KUTUMIA TONER AMBAYO HUUFUNIKA IZO PORES NA KUILINDA NGOZI!!

No comments:

Post a Comment