MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, June 18, 2013

KIMYA KINGI KINA MSHINDO!!>>NEW ARRIVALS @COSMETICS KUANZIA PRODUCTs za MNG'ARO,KUPUNGUA,KUNUKIA,KUONDOA STRETCHS NA KUTIBU CHUNUSI!!!BYS

BUSY AK CLASSIC TEAM WAKISHUSHA MZIGO MUPYAAA KAMA UNAVYOONEKANA KWA PICHA,KILA KITU UTAPATA!!

NAMELESS RELOADED ITS ALSO AVAILABLE!!SASA KUFUBAA BASII!!


HII INAITWA SKINCEPTION,INAFANYA KAZI NZURI SANA KATIKA KUONDOA STRETCH MARKS!!WATU WENGI WAMEIKUBALI

# NEW VICTORIAs SECRET LIPGLOSS IN DA HOUSE!! UBORA WAKE SIDHANIN KAMA UNAHITAJI MAELEZO YA ZIADA!!

ILE HABARE YA MUJINI,NDIO HII 'proshape"BABE!!.. NDANI YA SIKU 30 MATOKEO YAKE UTAYAPENDA!!USIWE MVIVU TU KWENYE ZILE "zE DOs AND  zE DoNTs"   waone akclassic wakupe siri!!

VICTORIAs SECRETS  NEW SCENT NOW IN TOWN BABE!!

EXTREME GLOW NI MOJA YA BIDHAA ZINAZOFANYA VIZURI MNO MNO MNO NARUDIA MNO KWENYE NGOZI!!SASA SAMBAMBA NA HII WAMEKULETEA  CARROT GLOW AMBAYO KAMA MWENZIO NAYO NI HOMA YA JIJI!! NANI ASIYEJUA UZURI WA CARROT LINAPOKUJA SWALA ZIMA LA KUWEKA NGOZI SAWA???

HII NDIO FULL SET YA EXTREME GLOW, IKIWA PAMOJA NA SABUNI,SERUM NA LOTION YAKE!!utamu wa ngoma uingie ucheze bibi!!

OTENTIKA NAYO HAIJASAHAULIKA,ILIFANYA VIZURI,INAFANYA VIZURI NA ITAENDELEA KUWA KIPENZI CHA WENGI!!

ASIKWAMBIE MTU SIRI YA KUWA NA NGOZI NYORORO,ISIYO NA CHUNUSI/HARARA NI KUIOSHA VIZUUUUURIIIIIIII NA CLEANSER!!BILA KUSAHAU KUNYWA MAJI MENGI!! HII INA APLY KWETU WOTE UWE TATIZO LA CHUNUSI AMA LAH!!

No comments:

Post a Comment