MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, November 19, 2012

>>>NI UKWELI ULIO WAZI BI-OIL YA KISOUTH INAFANYA KAZI NZURI NA KUBWA SANA,ILA KWA ZA KARIBUNI KWA WALE WOTE WALIOKUWA WANAICHUKUA NAONA WAMEHAMIA HUKU..NAOMBA UIJARIBU HII NAWEWE ALAFU UNINONG'ONEZE!!!

INAITWA PALMERS SKIN THERAPY OIL,UKIIANGALIA KIMUONEKANO NA BIOIL NI SAWIA LAKINI HII NADHANI INA KITU CHA ZIADA!!KITU GANI??UTAMU WA NGOMA INGIA...

No comments:

Post a Comment