MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, November 19, 2012

>>>MASHEMEJI NAO HAWAJASAHAULIKA @AK CLASSIC COSMETICS...

HAPO UNAKUTANA NA SKIN BRACER AFTERSHAVE,GILLETE LOTION YA KUPAKA BAADA YA KUSHAVE,NA AQUA AFTERSHAVE SPRAY.


HII MAALUM KWA WALE WATOKAO MAPELE BAADA YA KUNYOA UKITUMIA HII HIYO HABARE HAMNA TENA,TWIN WAKE HUYO HAPO CHINI.

HII NI TWIN YA HUYO HAPO JUUBAADA YA KUNYOA SPRAY NA LOTION KWA AJILI YA MWILI ZINAHUSIKA SANA.

HII NI LOTION YA 3 in 1 ,AKA UNAUA NDEGE WATATU KWA PAMOJA!!NINI UNATAKA ZAIDI HAPA?

No comments:

Post a Comment