MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, March 23, 2017

#weekly customer"s choice @akclassic #thebest


Kuna watu wanajua Kuchagua Mpk Wanapitiliza!!

YOU nailed it @ma_roseg


Yaani Kuanzia Chini Mpaka Juu... Em Check

🔻NYWELE kazipa kitu kizuri cha Kuzioshea nacho SHAMPOO ya #Sheamoisture yenye Castor Oil hii bana Ni sheeda,
Kisha Unywele akazitunuku #JAMAICANBLACKCASTROLOIL
Ila hii sasa Ni super inaitwa #Extradark wataaalam wanakuambia hii ina nguvu hata Matokeo yake na Bei yake ni Mujarab👍 Mambo ya Kuzikuza, Kuzijaza na kuzuia Zisikatike hii ni 👍
🔻LIPS akazipa kitu cha #beautyrush @victoriassecret #Lipgloss👄 aka Gusa Unate😕

🔻MWILI akautuliza Na set ya #Antidarkspot Skinsuccess ili toleo jipya hapo kuna Sabuni kwa ajili ya kubrush mwili mzima kisha
🔻USO Unaupaka Creme kwa ajili ya rangi YA changes
kisha Mwilini anatupia Fademilk Lotion✔ matokeo flani amaizing😜 tupu hapo.
Kama Haitoshi Mwili akatupia ile Smell ya Kumtoa Nyoka Pangoni #verysexy mist by @victoriassecret hapa utasumbuliwa sana😝😝

🔻MWISHO Akamalizia Na Sanitizer matratra ya @signaturecollection #japanesecherryblossom 📍 Hii kwa ajili ya kaweka mikono nadhifu na kuua bacteria akiwa palepale Kwa desk lake maana habari za kuinuka kwenda Kunawa zinamChosha.


UMETISHAA SANA ayseee!!
@ma_roseg alafu hii #Oceanic4men bodyspray ndo ile mambo ya Kitanga sio unampa sPray anakununulia KiPasso🚗🙈🙈

1 comment: