MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, April 9, 2015

MADINI HAYOOOOOOOOOO YAMESHUKA KAMA KAWAIDA YETU!!

MZIGO UKIPAKULIWA NDANI YA #AKCLASSIC

KUNA VITU VIZURI VINGI SANA SEMA HAMVIJUI TU,KAMAQ KAWAIDA YANGU KAZI YANGU NI KUWAAMBIA!!WEE UMEKOMALIA TU LILE KOPO KUBWA NA ZITOO AHA WAPI MAMBO IKO HUKU!!ILA CHUNGA SANA.. TAFUTA VYA UKWELI NAVYO VIPO #AKCLASSIC

KAMA NYWELE ZAKO NI KAVU,DHAIFU,ALAFU ZINAKATIKA KATIKA HII ISIKUPITE...INAITWA ORS HAIR MAYONNAISE NI MCHANGANYIKO WA OLIVE OIL NA MAYAI.. WAKE WANAOJUA SHUGHULI YA IVO VITU LINAPOKUJA SWALA LA NYWELE WANAJUA BALAA LAKE!!

ILIKKUWEPO,IPO NA ITAENDELEA KUWEPO!! ILA SASA NDO UPATE ORIJINOOO!!KWAKWELI HOTOJUTRAAA!!!TUNAYO YENYEWE #AKCLASSIC

WALE #TEAMNATURALHAIR HII NDIO MAMA LAO KATIKA SWALA ZIMA ZA NYWELE ZA CURLY AKA TWIST OUT... IKISHINDWA HII BASI WEE NYOA KIPARA TU!!!

KUNA MTEJA WANGU MMOJA YEYE ALIKUWA ANAMNUNULIA HAYA MAFUTA MWANAO SASA VILE VILIVYOKUWAQ VINABAKIA KIGANJANI ANAPAKA YEYE MWILINI BASI BWANA AKAANZA KUONA KANGOZI KAKE KANAKUWA LAINI KAMA NTOTO,KUJA KUSHTUKA KUMBE NI HAYA MAFUTA BASI MPK LEO NDO MAFUTA YAKE!!ENHEE NDIO

KATI YA VITU VIZURI MSIVYOVIJUA NI HII!!JAMANI NAZI SIO KWA UBWABWA TU HATA KUMKICHWA INA BALAAA SI MCHEZO...WALE WA KIPILIPILI NJOONI NIWAPE HII HAMTAJUTRAAA!!!MAMBO YOTEEE #AKCLASSIC #0753482909

No comments:

Post a Comment